TANGAZO LA KUITWA KAZINI LEO

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ametangaza orodha ya waombaji kazi waliofaulu usaili uliofanyika na kupangiwa vituo vya kazi. Waombaji wanapaswa kupakua barua za kupangiwa kazi kupitia akaunti zao za Ajira Portal na kuripoti kazini wakiwa na vyeti halisi. Wale ambao majina yao hayapo, hawakufaulu lakini wanahimizwa kuomba tena nafasi zitakapotangazwa.

TANGAZO LA KUITWA KAZINI LEO