ORODHA KAMILI YA NYARAKA ZA LAZIMA KWA USAJILI KWENYE AJIRA PORTAL
Learn the full list of essential and additional documents needed to create an account on Tanzania's Ajira Portal. Includes certified academic and professional certificates, NIDA number, recent passport photo, and three referees. Bonus tips for strengthening your job application.

π COMPLETE LIST OF REQUIRED DOCUMENTS FOR AJIRA PORTAL ACCOUNT REGISTRATION
1. Certified Copies of Academic Certificates
-
π O-Level Certificate (Certificate of Secondary Education β Form Four)
-
π A-Level Certificate (Certificate of Advanced Secondary Education β Form Six) (if applicable)
-
π Higher Education Certificates (Degree, Diploma, etc.)
-
π University/College Transcripts (must be certified copies)
Note: If you hold any Professional Certifications, such as:
-
CPA (Certified Public Accountant)
-
PSPTB (Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board)
-
ERB (Engineers Registration Board)
-
Other relevant professional licenses
β‘οΈ Make sure they are certified copies.
2. Certified Birth Certificate
-
π Your birth certificate must be certified by a lawyer or an authorized official.
3. NIDA Number (National Identification Number)
-
π This is required to verify your identity.
4. Recent Passport Size Photo
-
πΌοΈ A clear and formal passport-size photograph taken recently.
5. Three (3) Referees
-
π₯ Provide details of three referees who can confirm your qualifications and character:
-
Full Name
-
Job Title/Position
-
Organization/Institution
-
Phone number, email address, and postal address
-
π ADDITIONAL DOCUMENTS TO BOOST YOUR APPLICATION
Though not mandatory, the following documents are highly recommended:
βͺοΈ Career-Related Training Certificates
-
Include certificates from any workshops, short courses, or seminars you've attended.
βͺοΈ Work Experience Letters
-
Provide letters or official documents from previous employers to prove your professional experience.
β Conclusion
Before registering on the Ajira Portal, make sure all documents are scanned and saved in PDF or JPEG format, and certified where required.
Having everything ready will ease your job application process and increase your chances of success.
πΒ ORODHA KAMILI YA NYARAKA ZA LAZIMA KWA USAJILI KWENYE AJIRA PORTAL
1. Nakala za Vyeti vya Elimu (Certified Copies)
-
π Cheti cha Kidato cha Nne (O-Level)
-
π Cheti cha Kidato cha Sita (A-Level) (kama ulisoma)
-
π Vyeti vya Elimu ya Juu (Diploma, Degree, n.k.)
-
π Transcripts za chuo (ambazo zimeidhinishwa β certified)
NB: Kama una Professional Certificates kama:
-
CPA (Certified Public Accountant)
-
PSPTB (Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board)
-
ERB (Engineers Registration Board)
-
LICENCES nyingine za kitaaluma
β‘οΈ Hakikisha zote zimeidhinishwa (certified copies).
2. Cheti cha Kuzaliwa (Certified)
-
π Cheti chako cha kuzaliwa kinatakiwa kuwa kimeidhinishwa na mwanasheria au mamlaka husika.
3. Namba ya NIDA (National Identification Number)
-
π Hii ni muhimu kwa kuthibitisha utambulisho wako.
4. Picha ya Pasipoti ya Hivi Karibuni
-
πΌοΈ Picha iwe rasmi, yenye muonekano mzuri na ya hivi karibuni.
5. Referees Watatu (3)
-
π₯ Toa taarifa za referees watatu wanaokujua kitaaluma au kitabia.
-
Majina kamili
-
Cheo au kazi wanayofanya
-
Mahali wanapofanyia kazi
-
Anuani, namba ya simu, na barua pepe
-
π NYARAKA ZA ZIADA ZITAKAZOONGEZA USHINDANI
Zingawa si za lazima, lakini zinapendekezwa sana:
βͺοΈ Vyeti vya Mafunzo ya Ziada (Trainings & Workshops)
-
Kama uliwahi kushiriki mafunzo ya kitaaluma au warsha, ongeza vyeti vyake.
βͺοΈ Taarifa za Uzoefu wa Kazi (Work Experience Letters)
-
Barua au nyaraka zinazoonyesha uzoefu wako wa kazi katika taasisi mbalimbali.
β Hitimisho
Kabla ya kuanza mchakato wa kujisajili kwenye Ajira Portal, hakikisha nyaraka zote zimewekwa kwa mfumo wa PDF au JPEG, na ni toleo lililoidhinishwa (certified) pale inapohitajika.
Kuandaa haya mapema kutarahisisha mchakato wa maombi ya kazi na kukuongezea nafasi ya kuchaguliwa.
AJIRA PORTAL LINK: https://portal.ajira.go.tz/